Matendo 7:12 BHN

12 Basi, Yakobo aliposikia habari kwamba huko Misri kulikuwa na nafaka, aliwatuma watoto wake, yaani babu zetu, waende huko Misri mara ya kwanza.

Kusoma sura kamili Matendo 7

Mtazamo Matendo 7:12 katika mazingira