Matendo 7:2 BHN

2 Naye Stefano akasema, “Ndugu zangu na akina baba, nisikilizeni! Mungu alimtokea babu yetu Abrahamu alipokuwa kule Mesopotamia kabla hajaenda kukaa kule Harani.

Kusoma sura kamili Matendo 7

Mtazamo Matendo 7:2 katika mazingira