Matendo 7:34 BHN

34 Nimeyaona mabaya wanayotendewa watu wangu kule Misri. Nimesikia kilio chao, nami nimekuja kuwaokoa. Basi sasa, nitakutuma Misri.’

Kusoma sura kamili Matendo 7

Mtazamo Matendo 7:34 katika mazingira