36 Ndiye aliyewaongoza wale watu watoke Misri kwa kufanya miujiza na maajabu katika nchi ya Misri, katika bahari ya Shamu na jangwani, kwa muda wa miaka arubaini.
Kusoma sura kamili Matendo 7
Mtazamo Matendo 7:36 katika mazingira