Mathayo 1:6 BHN

6 naye Yese alimzaa Mfalme Daudi.Daudi alimzaa Solomoni (mama yake Solomoni alikuwa Bath-Sheba mke wa Uria).

Kusoma sura kamili Mathayo 1

Mtazamo Mathayo 1:6 katika mazingira