Mathayo 12:10 BHN

10 Kulikuwa na mtu mmoja mwenye mkono uliopooza. Basi, watu wakamwuliza Yesu, “Je, ni halali kumponya mtu siku ya Sabato?” Walimwuliza hivyo wapate kisa cha kumshtaki.

Kusoma sura kamili Mathayo 12

Mtazamo Mathayo 12:10 katika mazingira