Mathayo 12:13 BHN

13 Kisha akamwambia yule mtu, “Nyosha mkono wako.” Akaunyosha, nao ukawa mzima kabisa kama ule mwingine.

Kusoma sura kamili Mathayo 12

Mtazamo Mathayo 12:13 katika mazingira