Mathayo 12:22 BHN

22 Hapo watu wakamletea Yesu mtu mmoja kipofu na ambaye alikuwa bubu kwa sababu alikuwa amepagawa na pepo. Yesu akamponya hata akaweza kusema na kuona.

Kusoma sura kamili Mathayo 12

Mtazamo Mathayo 12:22 katika mazingira