27 Nyinyi mnasema ati nawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli; je, wafuasi wenu huwafukuza kwa uwezo wa nani? Kwa sababu hiyo wao ndio watakaowahukumu nyinyi.
Kusoma sura kamili Mathayo 12
Mtazamo Mathayo 12:27 katika mazingira