Mathayo 12:29 BHN

29 “Au, anawezaje mtu kuivamia nyumba ya mtu mwenye nguvu na kumnyanganya mali yake, bila kwanza kumfunga huyo mtu mwenye nguvu? Hapo ndipo atakapoweza kumnyanganya mali yake.

Kusoma sura kamili Mathayo 12

Mtazamo Mathayo 12:29 katika mazingira