Mathayo 12:4 BHN

4 Yeye aliingia katika nyumba ya Mungu akala ile mikate iliyowekwa mbele ya Mungu. Yeye wala hao wenzake hawakuruhusiwa kula mikate hiyo isipokuwa tu makuhani peke yao.

Kusoma sura kamili Mathayo 12

Mtazamo Mathayo 12:4 katika mazingira