Mathayo 12:45 BHN

45 huenda kuwachukua pepo wengine saba, wabaya kuliko yeye; na wote huja wakamwingia huyo mtu. Na hali ya mtu huyo sasa huwa mbaya kuliko hapo mwanzo. Ndivyo itakavyokuwa kwa watu hawa waovu.”

Kusoma sura kamili Mathayo 12

Mtazamo Mathayo 12:45 katika mazingira