Mathayo 12:7 BHN

7 Kama tu mngejua maana ya maneno haya: ‘Nataka huruma wala si tambiko,’ hamngewahukumu watu wasio na hatia.

Kusoma sura kamili Mathayo 12

Mtazamo Mathayo 12:7 katika mazingira