Mathayo 13:19 BHN

19 Yeyote asikiaye neno juu ya ufalme wa Mungu bila kuelewa, ni kama zile mbegu zilizoanguka njiani; yule Mwovu huja na kunyakua kile kilichopandwa moyoni mwake.

Kusoma sura kamili Mathayo 13

Mtazamo Mathayo 13:19 katika mazingira