Mathayo 15:28 BHN

28 Hapo Yesu akamjibu, “Mama, imani yako ni kubwa; basi, ufanyiwe kama unavyotaka.” Yule binti yake akapona wakati huohuo.

Kusoma sura kamili Mathayo 15

Mtazamo Mathayo 15:28 katika mazingira