30 Watu wengi sana wakamjia wakiwaleta vilema, vipofu, viwete, bubu na wengine wengi waliokuwa wagonjwa, wakawaweka mbele ya miguu yake, naye Yesu akawaponya.
Kusoma sura kamili Mathayo 15
Mtazamo Mathayo 15:30 katika mazingira