Mathayo 16:1 BHN

1 Mafarisayo na Masadukayo walimwendea Yesu, na kwa kumjaribu, wakamwomba awaoneshe ishara kutoka mbinguni.

Kusoma sura kamili Mathayo 16

Mtazamo Mathayo 16:1 katika mazingira