Mathayo 16:5 BHN

5 Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate.

Kusoma sura kamili Mathayo 16

Mtazamo Mathayo 16:5 katika mazingira