12 Lakini nawaambieni, Elia amekwisha kuja nao hawakumtambua, bali walimtendea jinsi walivyotaka. Mwana wa Mtu atateswa vivyo hivyo mikononi mwao.”
Kusoma sura kamili Mathayo 17
Mtazamo Mathayo 17:12 katika mazingira