Mathayo 17:17 BHN

17 Yesu akajibu, “Enyi kizazi kisicho na imani, kilichopotoka! Nitakaa nanyi mpaka lini? Nitawavumilia nyinyi mpaka lini? Mleteni hapa huyo mtoto.”

Kusoma sura kamili Mathayo 17

Mtazamo Mathayo 17:17 katika mazingira