24 Walipofika Kafarnaumu watu wenye kukusanya fedha ya zaka ya hekalu walimwendea Petro, wakamwuliza, “Je, mwalimu wenu hulipa fedha ya zaka?”
Kusoma sura kamili Mathayo 17
Mtazamo Mathayo 17:24 katika mazingira