Mathayo 17:27 BHN

27 Lakini kusudi tusiwakwaze, nenda ziwani ukatupe ndoana; chukua samaki wa kwanza atakayenaswa, fungua kinywa chake, na ndani utakuta fedha taslimu ya zaka. Ichukue ukawape kwa ajili yangu na kwa ajili yako.”

Kusoma sura kamili Mathayo 17

Mtazamo Mathayo 17:27 katika mazingira