Mathayo 17:9 BHN

9 Basi, walipokuwa wanashuka mlimani, Yesu akawaonya: “Msimwambie mtu mambo mliyoyaona mpaka Mwana wa Mtu atakapofufuliwa kutoka wafu.”

Kusoma sura kamili Mathayo 17

Mtazamo Mathayo 17:9 katika mazingira