Mathayo 18:12 BHN

12 Mnaonaje? Mtu akiwa na kondoo 100, akimpoteza mmoja, hufanyaje? Huwaacha wale tisini na tisa mlimani, akaenda kumtafuta yule aliyepotea.

Kusoma sura kamili Mathayo 18

Mtazamo Mathayo 18:12 katika mazingira