Mathayo 18:15 BHN

15 “Ndugu yako akikukosea, mwendee ukamwonye mkiwa nyinyi peke yenu. Akikusikia utakuwa umempata ndugu yako.

Kusoma sura kamili Mathayo 18

Mtazamo Mathayo 18:15 katika mazingira