Mathayo 18:19 BHN

19 Tena nawaambieni, wawili miongoni mwenu wakikubaliana hapa duniani kuhusu jambo lolote la kuomba, Baba yangu wa mbinguni atawafanyia jambo hilo.

Kusoma sura kamili Mathayo 18

Mtazamo Mathayo 18:19 katika mazingira