Mathayo 18:21 BHN

21 Kisha Petro akamwendea Yesu, akamwuliza, “Je, ndugu yangu akinikosea, nimsamehe mara ngapi? Mara saba?”

Kusoma sura kamili Mathayo 18

Mtazamo Mathayo 18:21 katika mazingira