Mathayo 18:6 BHN

6 “Yeyote atakayemkosesha mmoja wa hawa wadogo wanaoniamini, ingekuwa afadhali afungwe shingoni jiwe kubwa la kusagia na kuzamishwa kwenye kilindi cha bahari.

Kusoma sura kamili Mathayo 18

Mtazamo Mathayo 18:6 katika mazingira