Mathayo 19:7 BHN

7 Lakini wao wakamwuliza, “Kwa nini basi, Mose alituagiza mwanamke apewe hati ya talaka na kuachwa?”

Kusoma sura kamili Mathayo 19

Mtazamo Mathayo 19:7 katika mazingira