Mathayo 2:1 BHN

1 Yesu alizaliwa mjini Bethlehemu, mkoani Yudea, wakati Herode alipokuwa mfalme. Punde tu baada ya kuzaliwa kwake, wataalamu wa nyota kutoka mashariki walifika Yerusalemu,

Kusoma sura kamili Mathayo 2

Mtazamo Mathayo 2:1 katika mazingira