Mathayo 2:11 BHN

11 Basi, wakaingia nyumbani, wakamwona yule mtoto pamoja na Maria mama yake; wakapiga magoti, wakamsujudia. Kisha wakafungua hazina zao, wakampa zawadi: Dhahabu, ubani na manemane.

Kusoma sura kamili Mathayo 2

Mtazamo Mathayo 2:11 katika mazingira