Mathayo 2:13 BHN

13 Baada ya wale wageni kuondoka, malaika wa Bwana alimtokea Yosefu katika ndoto, akamwambia, “Amka! Mchukue mtoto pamoja na mama yake, mkimbilie Misri. Kaeni huko mpaka nitakapokuambia, maana Herode anakusudia kumuua huyu mtoto.”

Kusoma sura kamili Mathayo 2

Mtazamo Mathayo 2:13 katika mazingira