15 Akakaa huko mpaka Herode alipokufa. Jambo hilo lilifanyika ili neno alilosema Bwana kwa njia ya nabii litimie:“Nilimwita Mwanangu kutoka Misri.”
Kusoma sura kamili Mathayo 2
Mtazamo Mathayo 2:15 katika mazingira