Mathayo 2:18 BHN

18 “Sauti imesikika huko Rama,kilio na maombolezo mengi.Raheli anawalilia watoto wake,wala hataki kutulizwa,maana wote wamefariki.”

Kusoma sura kamili Mathayo 2

Mtazamo Mathayo 2:18 katika mazingira