Mathayo 2:20 BHN

20 akamwambia, “Amka! Mchukue mtoto pamoja na mama yake, urudi tena katika nchi ya Israeli, maana wale waliotaka kumuua mtoto huyo wamekwisha kufa.”

Kusoma sura kamili Mathayo 2

Mtazamo Mathayo 2:20 katika mazingira