Mathayo 2:7 BHN

7 Hapo, Herode aliwaita faraghani hao wataalamu wa nyota, akawauliza wakati hasa ile nyota ilipowatokea.

Kusoma sura kamili Mathayo 2

Mtazamo Mathayo 2:7 katika mazingira