Mathayo 20:1 BHN

1 “Ufalme wa mbinguni unafanana na mtu mwenye shamba la mizabibu, ambaye alitoka asubuhi na mapema kuwaajiri wafanyakazi katika shamba lake.

Kusoma sura kamili Mathayo 20

Mtazamo Mathayo 20:1 katika mazingira