Mathayo 20:12 BHN

12 Wakasema, ‘Watu hawa walioajiriwa mwisho walifanya kazi kwa muda wa saa moja tu, mbona umetutendea sawa na wao hali sisi tumevumilia kazi ngumu kutwa na jua kali?’

Kusoma sura kamili Mathayo 20

Mtazamo Mathayo 20:12 katika mazingira