Mathayo 20:30 BHN

30 Basi, kulikuwa na vipofu wawili wameketi kando ya njia, na waliposikia kwamba Yesu alikuwa anapitia hapo, walipaza sauti: “Bwana, Mwana wa Daudi, utuhurumie!”

Kusoma sura kamili Mathayo 20

Mtazamo Mathayo 20:30 katika mazingira