Mathayo 21:12 BHN

12 Basi, Yesu akaingia hekaluni, akawafukuza nje watu waliokuwa wanauza na kununua vitu ndani ya hekalu; akazipindua meza za wale waliokuwa wanavunja fedha, na viti vya wale waliokuwa wanauza njiwa.

Kusoma sura kamili Mathayo 21

Mtazamo Mathayo 21:12 katika mazingira