Mathayo 21:15 BHN

15 Basi, makuhani wakuu na waalimu wa sheria walipoyaona maajabu aliyoyafanya Yesu, na pia watoto walipokuwa wanapaza sauti zao hekaluni wakisema: “Sifa kwa Mwana wa Daudi,” wakakasirika.

Kusoma sura kamili Mathayo 21

Mtazamo Mathayo 21:15 katika mazingira