Mathayo 21:19 BHN

19 Akauona mtini mmoja kando ya njia, akauendea; lakini aliukuta hauna chochote ila majani matupu. Basi, akauambia, “Usizae tena matunda milele!” Papo hapo huo mtini ukanyauka.

Kusoma sura kamili Mathayo 21

Mtazamo Mathayo 21:19 katika mazingira