Mathayo 21:21 BHN

21 Yesu akawajibu, “Kweli nawaambieni, kama mkiwa na imani bila kuwa na mashaka, mnaweza si tu kufanya hivyo, bali hata mkiuambia mlima huu: ‘Ngoka ukajitose baharini,’ itafanyika hivyo.

Kusoma sura kamili Mathayo 21

Mtazamo Mathayo 21:21 katika mazingira