Mathayo 21:23 BHN

23 Yesu aliingia hekaluni, akawa anafundisha. Alipokuwa akifundisha, makuhani wakuu na wazee wa watu wakamwuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani amekupa mamlaka haya?”

Kusoma sura kamili Mathayo 21

Mtazamo Mathayo 21:23 katika mazingira