35 Wale wakulima wakawakamata hao watumishi; mmoja wakampiga, mwingine wakamuua na mwingine wakampiga mawe.
Kusoma sura kamili Mathayo 21
Mtazamo Mathayo 21:35 katika mazingira