Mathayo 21:41 BHN

41 Wao wakamjibu, “Atawaangamiza vibaya hao waovu, na lile shamba atawapa wakulima wengine ambao watampa sehemu ya mavuno wakati wake.”

Kusoma sura kamili Mathayo 21

Mtazamo Mathayo 21:41 katika mazingira