Mathayo 22:21 BHN

21 Wakamjibu, “Ni ya Kaisari.” Hapo Yesu akawaambia, “Basi, ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu.”

Kusoma sura kamili Mathayo 22

Mtazamo Mathayo 22:21 katika mazingira