Mathayo 24:24 BHN

24 Maana watatokea akina Kristo wa uongo na manabii wa uongo. Watafanya ishara kubwa na maajabu ya kuweza kuwapotosha ikiwezekana hata wateule wa Mungu.

Kusoma sura kamili Mathayo 24

Mtazamo Mathayo 24:24 katika mazingira