Mathayo 24:29 BHN

29 “Mara baada ya dhiki ya siku hizo, jua litatiwa giza, mwezi hautaangaza, nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za mbingu zitatikiswa.

Kusoma sura kamili Mathayo 24

Mtazamo Mathayo 24:29 katika mazingira