Mathayo 24:36 BHN

36 “Lakini, juu ya siku au saa hiyo, hakuna mtu ajuaye itakuja lini; wala malaika wa mbinguni, wala Mwana; Baba peke yake ndiye ajuaye.

Kusoma sura kamili Mathayo 24

Mtazamo Mathayo 24:36 katika mazingira